Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maguire aipa ushindi Man United, Onana aokoa penati

Onana Maguiree Maguire aipa ushindi Man United, Onana aokoa penati

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester United imeibuka na ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya FC Copenhagen katika dimba la Old Trafford huku Harry Maguire na golikipa Andre Onana wakitakata.

Maguire aliifungia Man United bao la uongozi dakika ya 72 kabla ya Scott MC Tominay kufanya madhambi ndani ya 18 na kuizawadia Copenhagen penati zikiwa zimesalia sekunde chache kumalizika (dakika ya 90+5).

Hata hivyo golikipa Andre Onana alifanikiwa kuinusuru Man United na sare ya kuisaidia kuondoka na alama zote tatu.

FT: Man United 1-0 FC Copenhagen ⚽ Harry Maguire

1-Bayern Munich - Points _09 2-Galatasaray - Points _04 3-Manchester - United _Points 03 4-Cobenhavn - Points- 01

Wote wameshacheza mechi 03 kila timu bado mechi tatu tatu kila timu.

UGENINI - Copenhagen Vs Manchester United NYUMBANI - Manchester United Vs Bayern Munich UGENINI - Galatasaray Vs Manchester United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: