Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maguire, Grealish kuikosa Euro 2024

Skysports Grealish Maguire 6574882 Maguire, Grealish kuikosa Euro 2024

Fri, 7 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa Manchester United, Harry Maguire na winga wa Man City, Jack Grealish ni miongoni mwa wachezaji waliopunguzwa kutoka kikosi cha England ambacho awali kiliitwa kwa ajili ya michuano ya EURO 2024.

Ripoti zinadai Maguire ameondolewa kwasababu hayupo fiti huku Grealish, Maddison, Curtis Jones, James Trafford na Jarrel Quansah wakipunguzwa kwa matakwa ya benchi la ufundi.

Grealish amekuwa na msimu usioridhisha akifunga mabao matatu tu na kutoa pasi moja ya mabao katika mechi 20 alizochezea Man City msimu uliomalizika.

Naye Maguire amekuwa akisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara msimu uliomalizika likiwemo jeraha la misuli la hivi karibuni lililomfanya akose mechi za mwisho wa msimu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live