Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Magoli yachelewesha mechi ya Hull City na Birmingham kwa dakika 20

Mgoliiiii.jpeg Mwamuzi aliamuru magoli hayo yapunguzwe

Mon, 17 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo kati haya Hull City na Birmingham City ulichelewa kwa dakika 20 kutokana ukubwa wa magoli yaliyokuwepo kwenye uwanja wa MKM uliyokusudiwa kufanyika kwa mechi hiyo ya Championship hapo jana siku ya Jumapili.

Mwamuzi wa mchezo, Leigh Doughty aligundua ukubwa wa magoli hayo kabla ya mechi kuanza na kuamuru yapunguzwe inchi mbili ili yaweze kutumika.

Takribani dakika 20 zilitumika kukamilisha vipimo na milingoti hiyo mitatu kurejeshwa upya ilipokuwa ili mpira uweze kuendelea kama ulivyokusudiwa na mchezo huo kumalizika kwa Hull City 0 – 2 Birmingham City .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live