Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Magoli ya Guede na hadithi ya Mabasi Uingereza

Joseph Guede Goals Joseph Guede

Wed, 21 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabasi ya Uingereza unaweza ukakaa nusu saa kituoni halitokei hata moja halafu yakitokea ghafla yanakuja mawili kwa pamoja na ndicho ambacho Joseph Guede amekifanya katika mchezo wa jana dhidi ya Polisi Tanzania kwenye kombe la FA.

Mabao yamechelewa kuja wakati anasajiliwa January lakini leo yamekuja mawili ghafla.

Nadhani ni wakati wake sasa kuonesha muendelezo kwa hiki ambacho amekianza na ndilo hasa lengo kuu la kuletwa Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: