Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mafanikio ya timu 8 zinazoshiriki AFL

Simba Jezi Mpya Mafanikio ya timu 8 zinazoshiriki AFL

Mon, 16 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Michuano ya African Football League itaanza kurindima katika mechi ya ufunguzi kati ya Simba SC na Al Ahly ya Misri, Ijumaa hii Oktoba 20, 2023 katika Dimba la Mkapa.

Mafanikio ya timu nane ambazo zinazoshiriki michuano ya African Football League (AFL) kwenye mashindano ya CAFCL.

✅ Al Ahly ya Misri - Misri - Mkombe 11

✅ TP Mazembe ya Cobgo DR - Makombe 5

✅ Esperance ya Tunisia - Makombe 4

✅ Wydad Casablanca ya Morocco - Makombe 3

✅ Enyimba ya Nigeria - Makombe 2

✅ Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini - Kombe 1

❌ Petro de Luanda ya Angola - Makombe 0

❌ Simba SC ya Tazania - Makombe 0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live