Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mafanikio aliyoyapata Pitso tangu ajiunga na Ahly kabla ya kutimuliwa

Pitso Mmm.jpeg Pitso

Mon, 13 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Soka ya Al-Ahly imethibitisha kuachana na kocha Pitso Mosimane baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili. Mosimane ameomba kuondoka kwenye timu hiyo akiwa ameshinda jumla ya mataji matano (5), ikiwa ni pamoja na ubingwa wa Klabu Bingwa Afrika mara mbili.

Takwimu zake akiwa na timu hiyo

Mechi: 97 Kushinda: 65 Kupoteza: 10 Sare: 22 CAF Champions League 2 CAF Super Cup 2 Egypt Cup 1 Bronze Medal Club World Cup 2

Chanzo: www.tanzaniaweb.live