Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Madrid wawasilisha malalamiko sakata la Vinicius

FwvdI0lX0AMQAqp Madrid wawasilisha malalamiko Sakata la Vinicius

Tue, 23 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Real Madrid imewasilisha malalamishi rasmi kwa waendesha mashtaka nchini Uhispania kutokana na vitendo vya kibaguzi vilivyoelekezwa kwa mchezaji wao raia wa Brazil, Vinicius Jr wakati wa mechi ya La Liga dhidi ya Valencia usiku wa kuamkia jana.

Real Madrid imewasilisha malalamishi rasmi kwa waendesha mashtaka nchini Uhispania kutokana na vitendo vya kibaguzi vilivyoelekezwa kwa mchezaji wao raia wa Brazil, Vinicius Jr wakati wa mechi ya La Liga dhidi ya Valencia usiku wa kuamkia jana. Vitendo vya ubaguzi vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara katika Ligi ya Hispania na mara kadhaa Vinicius amehusika katika kadhia hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live