Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Madrid kumsajili Mbappe

Madrid Kumsajili Mbappe Madrid kumsajili Mbappe

Mon, 11 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dirisha la usajili limefungwa lakini Klabu zimeendelea na mipango ya kuboresha vikosi kwa madili ya nyota yaliyoshindikana kwenye dirisha lililofungwa hivi juzi.

Real Madrid wamepanga kumsajili mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappé mapema mwezi Januari .

Matajiri hao wa LaLiga wamempa mchezaji huyo kipaumbele pindi dirisha la usajili litakapofunguliwa tena.

Hata hivyo, Plan B ya Madrid endapo watashindwa kufikia makubaliano kamili ya kumsajili watatafuta mbadala wake upande mwingine na hadi sasa machaguo yaliyopo ni washambuliaji wa Manchester City; Erling Haaland na Julian Álvarez.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live