Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Madee: Tukisema Yanga tuna watu muwe mnatuelewa!

Madee Yanga Shabiki wa Yanga, Madee

Tue, 13 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Droo ya hatua ya Makundi kuwekwa Kombe la Shirikisho kuwekwa hadharani jana Desemba 12 huku Yanga ikipangwa kundi D sambamba na timu za TP Mazembe (DRC), US Monasririene (Tunisia), AS Real Bamako (Mali).

Sasa shabiki wa Klabu ya Yanga, Mwanamuziki Madee ameibuka na kutamba kwamba wao wana watu katika mataifa yote wanayokwenda kucheza dhidi ya wapinzani wao katika michuano hiyo ya CAF, huku akiwaorodhesha nyota wao wa Kimataifa wanaokipiga katika kikosi cha Yanga.

Kupitiwa ukurasa wake wa Twitter Madee ameandika;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live