Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maddison mchezaji bora wa mwezi EPL

Maddison X Epl Maddison mchezaji bora wa mwezi EPL

Sat, 16 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Tottenham Hotspur, James Maddison ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Agosti wa Ligi Kuu England 2023/24.

Maddison (26) alifunga goli moja na kutoa pasi mbili za magoli kwa mwezi Agosti.

Aidha Kocha wa Tottenham Hotspur, Ange Postecoglou ameshinda tuzo ya kocha bora wa Mwezi Agosti wa Ligi Kuu England.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live