Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maddison arejea rasmi mazoezini Spurs

James Maddison James Maddison

Thu, 25 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Tottenham Hotspurz, James Maddison amerejea katika mazoezi kamili ya Tottenham na anaweza kuhusika katika mchezo wao wa Kombe la FA siku ya Ijumaa dhidi ya Man City.

Kiungo wa Tottenham Hotspurz, James Maddison amerejea katika mazoezi kamili ya Tottenham na anaweza kuhusika katika mchezo wao wa Kombe la FA siku ya Ijumaa dhidi ya Man City. Maddison alikuwa nje kwa majeraha ya kifundo cha mguu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live