Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mabosi United wafumbia macho Mkataba wa Varane

Varane Azima Tetesi Za Kuhamia Saudia Rafael Varane

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkataba wa Raphaël Varane unatamatika mwisho wa msimu huu,hakuna mazungumzo yoyote yanayoendelea juu ya kuongeza mkataba kwa Beki huyo kitasa raia wa Ufaransa

Mkataba wa Raphaël Varane unatamatika mwisho wa msimu huu,hakuna mazungumzo yoyote yanayoendelea juu ya kuongeza mkataba kwa Beki huyo kitasa raia wa Ufaransa Taarifa za awali kutoka vyanzo mbalimbali nchini Spain na Ufaransa zinaeleza kuwa mchezaji huyo anahitaji kuondoka klabuni hapo na uelekeo wake huwenda ikawa Italy au Saudi Pro-League kwa msimu ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live