Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mabosi Azam wamalizana na mbadala wa Bruce Kangwa

Sidibe X Kangwa Mabosi Azam wamalizana na mbadala wa Bruce Kangwa

Mon, 12 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabosi wa Azam FC hawalali kwa mipango ya kusuka jeshi jipya la msimu ujao na sasa inakaribia kumleta beki wa kushoto wa timu ya Taifa ya Senegal na klabu ya Teungueth, Cheikh Sidibe (24) ili kuziba pengo la Bruce Kangwa aliye mbioni kuachwa.

Mabosi wa Azam FC hawalali kwa mipango ya kusuka jeshi jipya la msimu ujao na sasa inakaribia kumleta beki wa kushoto wa timu ya Taifa ya Senegal na klabu ya Teungueth, Cheikh Sidibe (24) ili kuziba pengo la Bruce Kangwa aliye mbioni kuachwa. Azam FC wanafanya kila jitihada kujenga kikosi chao ili kuleta ushindani kwa vigogo msimu ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live