Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mabosi Azam FC warudi kwa Djuma Shaban

Zakazakazi X Djuma Shaban Mabosi Azam FC warudi kwa Djuma Shaban

Tue, 16 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inasemekana baadhi ya Viongozi wa klabu ya Azam wapo tayari kumrejesha Djuma Shaban Klabuni hapo katika dirisha kubwa la Usajili kwakuwa Wanaamini Msimu ujao Wanahitaji kufika Mbali Kimataifa,

Kocha Dabo hafikirii kuongeza Mlinzi wa kulia kwakuwa anaamini Lusajo Mwaikenda anatosha kwa kikosi cha kwanza na amekomaa kimataifa.

Djuma Shaban amekuwa akifanya mazoezi na Azam FC kwa kipindi kirefu tangu alipoachana na Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live