Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mabosi Angola wamtaka Mayele

Fiston Kalala Mayeleee.jpeg Fiston Kalala Mayele

Mon, 5 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

TETESI: Klabu ya Petro Atletico inavutiwa na huduma ya mshambuliaji hatari wa Young Africans, Fiston Mayele na klabu hiyo kutoka Angola imeandaa ofa maalumu ili iweze kupata saini ya mshambuliaji huyo dirisha dogo la usajili.

TETESI: Klabu ya Petro Atletico inavutiwa na huduma ya mshambuliaji hatari wa Young Africans, Fiston Mayele na klabu hiyo kutoka Angola imeandaa ofa maalumu ili iweze kupata saini ya mshambuliaji huyo dirisha dogo la usajili. Petro Atletico imeanza mchakato wa usajili katika dirisha dogo la usajili ikiwa lengo ni kuimarisha kikosi chao kuelekea michuano ya (CAF) na mashindano mengine mbalimbali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live