Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mabosi ASEC Mimosas watoa ahadi nzito kwa wachezaji

Asec Ushindi Mabosi ASEC Mimosas watoa ahadi nzito kwa wachezaji

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa ASEC Mimosas umewaahidi wachezaji kuwapa USD 17,000 kila mmoja sawa na kiasi kisichopungua millioni 45 za kitanzania endapo watafanikiwa kwenda katika Robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Uongozi wa ASEC Mimosas umewaahidi wachezaji kuwapa USD 17,000 kila mmoja sawa na kiasi kisichopungua millioni 45 za kitanzania endapo watafanikiwa kwenda katika Robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Asec wamesaliwa na Michezo 3 huku miwili wakicheza kwao Nyumbani na Mmoja wakitarajia kucheza ugenini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live