Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mabingwa Uganda wasaka saini ya Emannuel Okwi

Okwi Pic Data Emannuel Okwi

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa wapya wa ligi kuu ya Uganda Sports Club Villa wapo kwenye mazungumzo ya mwisho kumsajili mchezaji wa zamani wa klabu ya Simba sc na nahodha wa Uganda cranes Emmanuel Okwi.

Mabingwa wapya wa ligi kuu ya Uganda Sports Club Villa wapo kwenye mazungumzo ya mwisho kumsajili mchezaji wa zamani wa klabu ya Simba sc na nahodha wa Uganda cranes Emmanuel Okwi. Okwi ameshatamba na vilabu vya Bongo na hivi sasa alikuwa ni mchezaji huru.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live