Mon, 24 Oct 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Yanga na Simba katika #KariakooDerby wameshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa Oktoba 23, 2022 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
Yanga na Simba katika #KariakooDerby wameshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa Oktoba 23, 2022 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli yote yamefungwa kipindi cha kwanza, ambapo Simba wametangulia kwa goli la Augustine Okrah dakika ya 15 huku Yanga wakichomoa dakika ya 45.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live