Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MVP yupi alikuwa hatari zaidi Ligi Kuu Tanzania

Aziz Chama Ngasa MVP yupi alikuwa hatari zaidi Ligi Kuu Tanzania

Thu, 29 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hii ni orodha ya wachezaji ambao wamewahi kuwa wachezaji bora wa msimu (MVP) wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa miaka mbalimbali kuanzia msimu wa 2010–2024.

▪️2010: Mrisho Ngassa (Tanzania) - YANGA SC

▪️2011: Shadrack Nsajigwa (Tanzania) - YANGA SC

▪️2012: Agrey Moris (Tanzania) - AZAM FC

▪️2013: Kelvin Yondani (Tanzania) - YANGA SC

▪️2014: Kipre Tchetche (Ivory Coast) - AZAM FC

▪️2015: Simon Msuva (Tanzania) - YANGA SC

▪️2016: Juma Abdul (Tanzania) - YANGA SC

▪️2017: Mohammed Hussein (Tanzania) - SIMBA SC

▪️2018: John Bocco (Tanzania) - SIMBA SC

▪️2019: Medie Kagere (Rwanda) - SIMBA SC

▪️2020: Clatous Chama (Zambia) - SIMBA SC

▪️2021: John Bocco (Tanzania) - SIMBA SC

▪️2022: Yannick Bangala (Congo DR) - YANGA SC

▪️2023: Fiston Mayele (Congo DR) - YANGA SC

▪️2024: Aziz Ki (Burkina Faso) - YANGA SC.

Unadhani kwa nini Yanga huwa inatoa sana mamvp?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live