Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#MUUNGANOCUP: Half Time: KVZ 0 - 1 Simba

Freddy #MUUNGANOCUP: Half Time: KVZ 0 - 1 Simba

Wed, 24 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Freddy Michael amewatanguliza Simba SC dhidi ya KVZ katika kombe la Muungano.

Goli hilo lilipatikana dakika ya 25 ya mchezo baada ya Freddy kupokea pasi safi na kufunga bao.

Mbungi ipo live, tusubiri kipindi cha pili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live