Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MSEMAJI WA KILIMANI CITY ATOA UFAFANUZI ISHU YA KOCHA WAO MZUNGU

Jm.png?fit=490%2C455 MSEMAJI WA KILIMANI CITY ATOA UFAFANUZI ISHU YA KOCHA WAO MZUNGU

Wed, 17 Mar 2021 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Msemaji huyo mesema “Kwanza timu yetu ya Kilimani City haina uwezo wa kuwaleta na kuwalipa makocha wa kigeni isipokuwa timu yetu inaushirika na timu ya FC Bamental ya Ujerumani hawa ndio walioleta msaada wa kuwaleta walimu hawa na mkataba wao ni jumla ya miezi mitatu, sisi timu tunapokea fedha kutoka kwa wafadhili wetu na kuwapa mahitaji yao yote”

Ameitaja sababu ya kuchelewa kwa malipo ya makocha hao amesema “Ni kweli washirika wetu wamechelewa kutulea fedha kwaajili ya malipo ya hawa walimu lakini uongozi wa Kilimani City umeshafanya maongezi na washirika wetu ili kuona linamalizika”

Amemaliziwa kwa kusema nikawaida yao makocha wa kigeni wanapotaka kuondoka katika timu huzua taharuki na kuvitia doa vilabu.

Inaelezwa kuwa kocha huyo Geovan Scunu ameshapata timu ambayo ipo nchini Ruwanda.

Story na Ruwaida Saleh.

Chanzo: zanzibar24.co.tz