Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MECHI YA KIRAFIKI: Hiki hapa kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya Turan PFK

MECHI YA KIRAFIKI: Hiki Hapa Kikosi Cha Simba Kilichoanza Dhidi Ya Turan PFK MECHI YA KIRAFIKI: Hiki hapa kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya Turan PFK

Thu, 27 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba SC, leo Julai 27, 2023 wanacheza mechi mbili za kirafiki wakiwa nchini Uturuki walipoweka kambi.

Asubuhi hii majira ya saa 5, wanaanza kukipiga dhidi ya klabu ya Turan FC na baadaye saa 12: 00 jioni watacheza mechi nyingine dhidi ya wapinzani hao hao.

Kikosi kilichoanza asubuhi hii ni:

1. Feruz 2. Jimmyson, 3. Israel 4. Kennedy 5. Kazi 6. Kapama 7. Banda 8. Hamis, 9. Chilunda 10. Kramo 11.Phiri

Chanzo: www.tanzaniaweb.live