Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MC Alger Mabingwa Ligi Kuu Algeria

MC Alger Mabingwa.jpeg MC Alger Mabingwa Ligi Kuu Algeria

Sat, 18 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya MC Alger imetwaa Ubingwa wa Ligi Kuu nchini Algeria baada ya miaka 14 ikimaliza miaka minne ya utawala wa CR Belouizdad.

MC Alger chini ya kocha Patrice Beaumelle imetwaa Kombe ikiwa imebakiza michezo minne ili Ligi Kuu iweze kumalizika ambapo msimu ujao tutawaona kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.

MSIMAMO WA LIGI KUU TIMU NNE ZA JUU:

1.MC Alger 60 pts

2.CR Beloizidad 46 pts

3.CS Constantine 45 pts

4.ES Setif 41 pts

Chanzo: www.tanzaniaweb.live