Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MAPOKEZI: Tazama kocha wa Simba akiwasili Uwanja wa ndege (+Video)

Pablo Awasili Pablo Franco , Kocha mpya wa Simba SC akiwa Uwanja wa ndege Dar

Wed, 10 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, amewasili asubuhi ya leo Novemba 10, tayari kwa ajili ya kukionoa kikosi hicho.

Pablo amewasili saa 4:00 asubuhi akitokea kwao Hispania kupitia Dubai-Zanzibar kisha Dar es Salaam.

Apoliwasili alipokelewa na Mratibu wa Simba, Abbas Seleman. Kocha huyo aliambatana na Wakala wake ambaye ni Mkenya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live