Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#MAPINDUZICUP2022: Yanga 2- Taifa Jang'ombe 0

Nkane Denisss Usajili Mpya ndani ya Yanga, Dennis Nkane

Wed, 5 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Usajili mpya ndani ya Yanga, winga Denis Nkane umelipa, baada ya kuwainua wananchi kwa kupachika bao la pili.

Usajili mpya ndani ya Yanga, winga Denis Nkane umelipa, baada ya kuwainua wananchi kwa kupachika bao la pili. Yanga inakipiga na Taifa Jang'ombe katika uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar katika michuano ya Mapinduzi Cup.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live