Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#MAPINDUZICUP2022: Tazama magoli yote Simba vs Selem View (+Video)

Simba Full Squad Simba 2 - Selem View

Wed, 5 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi wameanza kwa ushindi michuano ya Mapinduzi Cup jioni ya leo katika Uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar.

Mabao ya Simba katika mchezo huo yamefungwa na Pape Sakho na Rally Bwalya dakika ya 53 na kuhitimisha ushindi wa magoli 2-0.

Tazama magoli yote katika mchezo huo;



Chanzo: www.tanzaniaweb.live