Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#MAPINDUZICUP2022: Simba 2 - Selem View 0

Bwallya Rally Rally Bwalya, anaiandikia Simba goli la 2

Wed, 5 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Simba Rally Bwalya, anawainua Mashabiki kwa Shuti kali la mguu wa kushoto na kuwapa Simba bao la pili.

Bwalya amefunga bao hilo la umbali mrefu dakika ya 53 ya mchezo na kuwafanya Simba kuongoza kwa magoli 2-0.

Goli la kwanza la Simba limefungwa na winga Pape Sakho kipindi cha kwanza dakika ya 25.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live