Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#MAPINDUZICUP2022: Sakho aitanguliza simba

Sakhooooooo Wachezaji wa Simba wakishangilia goli la uongozi

Wed, 5 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pape Ousmane Sakho anawaungurumisha Simba SC katika Uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar kwa goli lake dakika ya 25 kipindi cha kwanza.

Simba wametawala sehemu kubwa ya mchezo huo dhidi ya Selem View ya visiwani Zanzibar.

Pengine labda tutazame dakika 45 za kipindi cha Pili kocha wa Selem View atakuja na mpango gani kuhakikisha anasawazisha goli na kuibuka na ushindi katika mchezo huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live