Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#MAPINDUZICUP2022: Hiki hapa Kikosi cha Simba Kinachoanza dhidi ya Selem View

Simba Sports Kikosi cha Simba Kinachoanza dhidi ya Selem View

Wed, 5 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wanafainali wa msimu uliuopita wa Kombe la Mapinduzi Cup, Simba SC wanashuka uwanjani majira ya saa 10:15 jioni ya leo wakitupa karata yao ya kwanza katika michuano hiyo hiyo ya Mapinduzi Cup.

Kikosi cha Simba kimefanya mabadiliko makubwa ukilinganisha na kile kinachoanza mara kwa mara katika michuano ya Ligi Kuu Bara.

Tazama hapa chini kikosi kamili kinachoanza katika mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live