Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#MAPINDUZICUP2022: Half Time, Azam 0 - Yanga 0

Yanga Semi Mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza bado milango ni migumu mpaka sasa

Mon, 10 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpaka sasa ni mapumziko baada ya dakika 45 za kwanza huku kila timu ikiwa haijaona lango la mwenzake.

Sio Yanga wala sio Azam waliobahatika kufumania nyavu zamwingine katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Azam wamefanya majaribio kadhaa langoni mwa Yanga lakini golikipa Msheri amesimama imara muda wote.

Mpira unachezeka zaidi katika eneo la kati kati mwa uwanja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live