Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#MAPINDUZICUP2022: Full Time, Yanga 2- Taifa Jang'ombe 0

Full Time Winga wa Yanga, Deus Kaseke akijaribu kumtoka mchezaji wa Taifa Jang'ombe

Wed, 5 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa wtetezi wa Kombe la Mapinduzi, Dar Young Africans (Yanga) wameanza vyema michuano hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 2-0.

Mabingwa wtetezi wa Kombe la Mapinduzi, Dar Young Africans (Yanga) wameanza vyema michuano hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 2-0. Magoli ya Yanga kwenye mtanange huo yamefungwa na Makambo 32' na Denis NKane dakika ya 50.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live