Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#MAPINDUZICUP2022: Full Time, Azam 0 - Yanga 0

FT Yangaaa Mpira umemalizika kwa sare ya 0-0

Mon, 10 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 90 zimekamilika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar huku sio Yanga wala Azam alieona lango la mwenzake.

Dakika 90 zimekamilika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar huku sio Yanga wala Azam alieona lango la mwenzake. Kwa sasa mshindi anakwenda kupatikana kwa mikwaju ya penati, huku akisubiriwa mwanafainali mwingine kati ya mchezo wa Namungo vs Simba

Chanzo: www.tanzaniaweb.live