Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#MAPINDUZICUP2022: FT, Simba 2- Selem View 0

Mugalu Criss Mchezo umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa Magoli 2

Wed, 5 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup 2022, baina ya Simba na Selem View katika Uwanja wa Amaan umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa magoli 2-0.

Magoli ya Simba katika mchezo huo yamefungwa na Pape Sakho dakika ya 25 na Kiungo Rally Bwallya dakika ya 53.

Rally Bwalya aliibuka nyota wa mchezo katika mtanange huo na kujinyakulia kitita cha Shilingi laki 500,000.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live