Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#MAPINDUZICUP: Halftime: Simba 1- 0 Jamhuri

Simba Vs KMC.jpeg #MAPINDUZICUP: Halftime: Simba 1- 0 Jamhuri

Mon, 8 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mapinduzi Cup inaendelea visiwani Zanzibar, Robo Fainali ya nne inapigwa kati ya Simba SC na Jamhuri na mpira ni mapumziko Simba akiongoza kwa 1-0.

Goli hilo limewekwa nyavuni na Jean Baleke dakika za nyongeza baada ya dakika 45 kukamilika. Krosi ilipigwa na Fabrice Ngoma, Baleke akamalizia kwa kichwa.

Tusubiri kipindi cha pili muda sio mrefu kinaanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live