Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

M-brazil wa Simba ameta leo?

Robertinho Return Kocha wa Simba

Tue, 31 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira anatarajiwa kuwasili nchini Alfajiri leo Jumanne, Januari 31, 2023 akitokea kwao Brazil.

Roberto aliondoka nchini kwenda Brazil Januari 24 mwaka huu na kwa mujibu wa taarifa ya Simba ilisema kuwa alienda kwa shughuli binafsi za kifamilia.

Licha ya taarifahizo jana kuliibuka taarifa kutoka kwa waandishi waandamizi wa habari za Michezo waliodai kuwa Kocha huyo amemaliza kufanya mitihani yake ya Pro-Licence.

Je, Kocha huyo amewasili kuja kujiunga na kikosi kilichopo chini ya Juma Mgunda??

Chanzo: www.tanzaniaweb.live