Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

M-brazil atimka mazima Singida Big Stars, Uongozi wafunguka

Peterson Cruz Bye Peterson Silvino Da Cruz

Mon, 12 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Singida Big Stars imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na mshambuliaji wake, Peterson Silvino Da Cruz ‘Peu Da Cruz’ raia wa Brazil kutokana na sababu za kifamilia.

Mshambuliaji huyo aliondoka katika Timu ya Singida wiki chache zilizopita ikaarifiwa kuwa ni kwa sababu za kifamilia.

Soma hapa chini Taarifa rasmi ya klabu ya Singida;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live