Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lyanga agoma kumwaga wino Azam FC, anataka kitu gani?

Ayoub Lyangaaaa Ayoub Lyanga

Mon, 10 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Azam FC, Ayoub Lyanga amemaliza mkataba wake ndani ya Azam Fc. Mazungumzo baina ya pande zote mbili yapo kwenye hatua ngumu.

Lyanga amegomea ofa ya mkataba mpya wa mwaka mmoja, Anahitaji ofa nono ya kuanzia miaka miwili.

Singida Blacks Stars imeonesha nia ya kumuhitaji winga huyo, huku Simba SC pia wakitajwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live