Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lyanga afanyiwa upasuaji

Azamfcofficial 20211116 11 (600 X 751) Lyanga afanyiwa upasuaji

Wed, 17 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

WINGA wa Azam FC, Ayoub Lyanga amefanyiwa upasuaji katika hospitali ya Life Vincent Pelloti mjini Cape Town, Afrika Kusini.

WINGA wa Azam FC, Ayoub Lyanga amefanyiwa upasuaji katika hospitali ya Life Vincent Pelloti mjini Cape Town, Afrika Kusini. Upasuaji huo uliochukua muda wa saa mbili, unafuatia Lyanga kuumia Novemba mbili mwaka huu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Geita Gold.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live