Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lusajo Mwaikenda aongeza miaka 2 Azam FC

Lusajo Mwaikenda Aongeza Miaka 2 Azam FC.jpeg Lusajo Mwaikenda aongeza miaka 2 Azam FC

Tue, 9 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa kulia wa klabu ya soka ya Azam, Lusajo Mwaikenda amesinya kandarasi mpya ndani ya klabu hiyo itakayomfanya kusalia ndani ya viunga vya Chamazi mpaka mwaka 2027.

Nyota huyo raia wa Tanzania ameongeza kandarasi hiyo baada ya nyota mwenzake mlinzi wa kulia, Pascal Msindo kufanya hivyo wiki chache zilizopita.

Lusajo Mwaikenda ni mali halali ya Azam FC mpaka 2027

Chanzo: www.tanzaniaweb.live