Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Luke Shaw kukaa nje hadi mwisho wa msimu

Luke Shaw Luke Shaw kukaa nje hadi mwisho wa msimu

Thu, 22 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United huenda ikamkosa beki wake wa kushoto, Luke Shaw hadi mwisho wa msimu kutokana na majeraha ya misuli.

Shaw alipata majeraha hayo kwenye ‘mechi’ dhidi ya Luton FC wakati Man United ikipata ushindi wa mabao 2-1 mwishoni mwa wiki iliyopita.

Ukiachilia mbali kumkosa beki huyo pia ‘klabu’ hiyo huenda ikawakosa nyota kadhaa kutokana na majeraha akiwemo Lisandro Martinez na Tyrell Malacia. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live