Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Luke Shaw asaini Mkataba mpya Man United

Luke Shaw Mkataba.jpeg Luke Shaw

Fri, 31 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United wamekubali kusaini mkataba mpya wa miaka 4 na beki wake Luke Shaw.

Manchester United wamekubali kusaini mkataba mpya wa miaka 4 na beki wake Luke Shaw. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 unatarajia kumalizika mkataba wake wa sasa mwaka 2024 lakini United wana mpango wa kumlinda beki Huyo wa kushoto wa England kwa muda mrefu zaidi ndani ya Old Trafford.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: