Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Luka Modric ndiye anaongoza kwa mataji ya UEFA Champions League

Luka Modric Vs Sevilla Luc Modric

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Luka Modrić ni mchezaji aliyeshinda makombe mengi katika historia ya klabu

Ya Real Madrid baada kushinda makombe 26.

Luka Modrić ameshinda makombe mengi ya Champions League katika historia ya mashindano hayo. Ameshinda mara 6, akiungana na wachezaji wafuatao:

▪️Toni Kroos

▪️Dani Carvajal

▪️Nacho Fernandez

Luka Modrić alikuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia kushinda tuzo zifuatazo katika mwaka mmoja:

▪️World Cup Golden Ball

▪️UEFA Men’s Player of the Year

▪️FIFA Best Men’s Player

▪️Ballon d’Or

Ikumbukwe, Luka Modrić alipigiwa kura kama usajili mbovu wa msimu wa La Liga wa 2012/13.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live