Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Luis Van Gaal: Kombe la Dunia lilipangwa kwa ajili ya Messi

Van Gaal X Messi Luis Van Gaal: Kombe la Dunia lilipangwa kwa ajili ya Messi

Tue, 5 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa zamani wa Manchester United na timu ya Taifa ya Uholanzi Louis Van Gaal amesema ushindi wa kombe la Dunia kwa Argentina ulikuwa umepangwa kwa ajili ya Messi.

Van Gaal amesema namna ambavyo Argentina walikua wakipata magoli ukilinganisha na timu zingine ilikuwa dhahiri kuwa wamepangwa kuwa mabingwa wa kombe hilo.

Argentina walifanikiwa kubeba Ubingwa huo mbele ya Ufaransa kwa changamoto ya mikwaju ya penati.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live