Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Luis Suarez, Mhispania wa mwisho kushinda Ballon D'or

Luis Suarez Spain Luis Suarez, Mhispania wa mwisho kushinda Ballon D'or

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa kipindi cha hivi karibuni klabu ya Barcelona ilitawala sana soka la Ulaya.Ilikuwa na nyota wengi wazawa wa Hispania ambao walikuwa wanafanya vizuri kwenye kikosi chao.

Kwenye kikosi bora cha Barcelona huwezi kuacha kuyataja majina ya Xavi na Iniesta, hawa walikuwa bora sana katika miaka ya 2010 na kila mtu aliamini wanaweza kubeba tuzo ya mchezaji bora Duniani lakini story yao ikaisha hivyo bila tuzo.

Kutokea hapo Barcelona na Real Madrid zimekuwa zikifanya makubwa Ulaya lakini majina ya wachezaji wa Hispania sio kipaumbele sana kwenye tuzo.

Tangu alipobeba Luis Suarez nyota aliyewahi kupita Inter Milan tuzo ya Ballon D'or mwaka 1960 hajawahi kutokea mchezaji mwingine raia wa Hispania akabeba tuzo hiyo.

Tatizo ni nini ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live