Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Luis Miquissone agombewa

Luis Miquissone 1 680x454 1 Luis Miquissone

Thu, 7 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuna kila dalili mchezaji Luis Miquissone akarejea kucheza soka Tanzania baada ya kukwama Al Ahly.

Kuna kila dalili mchezaji Luis Miquissone akarejea kucheza soka Tanzania baada ya kukwama Al Ahly. Staa huyo wa soka wa Msumbiji ameshindwa kuwika kwa miamba ya soka ya Afrika, Ahly hivyo sasa anarejea Tanzania huku timu yake ya zamani Simba ikimtolea macho, lakini Yanga, Al Hilal na Al Merrikh za Sudan pia zinatajwa kumuwania mshambuliaji huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live