Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Luis Miquisson atajwa chanzo cha kujaza uwanja Simba Day

Simba Uwanja Kujaza Luis Miquisson atajwa chanzo cha kujaza uwanja Simba Day

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi Edgar Kibwana amesema, kurejea kwa Luis Miquisson kwenye kikosi cha Simba SC kutachagiza mashabiki kujitokeza kwa wingi siku ya Simba Day.

Mchambuzi huyo amenukuliwa na redio Clouds:

“Yanazungumzwa mengi kwamba huyu ameshindwa kujaza uwanja kisingizio kuwa ni elfu kumi, kwangu mimi hapana! Kwa mujibu wa tamasha ambalo linafanyika mara moja kwa mwaka.

“Nimepita kwenye vijiwe mtaani, Simba kuelekea tamasha lao kitendo cha Luis kurejea ni sababu Simba watajaza uwanja, mwingine anaweza akasema elfu tano yote sawa.”

“Tengenezea thamani pesa, kwa nini nije? Tengeneza utofauti na huo utofauti unajengwa ndani ya mwezi, miezi na hata wiki."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live