Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Luis Enrique anukia Brazil

Luisenriquecropped Blt1trcihanl1srqorra0644s Kocha Luis Enrique

Mon, 23 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Hispania na Klabu ya Barcelona Luis Enrique yupo kwenye orodha ya wanaowania nafasi ya kuwa kocha wa timu ya taifa ya Brazil.

Enrique alikuwepo nchini Qatar na kikosi cha Hispani ambapo waliishia hatua ya 16 Bora baada ya kuondolewa na Morocco kwa mikwaju ya penati.

Brazil wanahaha kusaka Kochja atakaerudisha ufalme wao katika soka la ngazi ya Taifa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live