Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Luis Diaz na Vini JR walitakiwa Mamelodi

Luis Diaz Na Vini JR Walitakiwa Mamelodi Luis Diaz na Vini JR walitakiwa Mamelodi

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa zamani wa Mamelodi Sundowns, Pitso Mosimane kwenye interview na na Metro FM amesema, kabla ya Luis Diaz kusajiliwa Liverpool na Vini kwenda Madrid nyota hao walitakiwa kucheza Mamelodi Sundowns.

“Unajua Luis Diaz wa Liverpool alitakiwa kusajiliwa Mamelodi kipindi ambacho mimi nilikuwa kocha wa Mamelodi na yeye alikuwa Colombia”

“Kila kitu kilikuwa vizuri mwishoni tulichelewa kama siku mbili akasajiliwa na FC Porto, mbali na huyo tulihitaji pia kumsajili Vinicius Jr.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live