Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lucas Moura mlango uko wazi kusepa Tottenham

Lucas Moura .jpeg Lucas Moura

Thu, 12 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tottenham Hotspurs haitamuongeza mkataba mshambuliaji wao raia wa Brazil, Lucas Moura na ataondoka klabuni mwishoni mwa msimu huu.

Lucas Moura alijiunga na Tottenham akitokea kwa matajiri wa Ufaransa klabu ya PSG mwaka 2018 huku akisaini mkataba ambao ungemuweka kwa wababe hao wa London mpaka mwaka 2024.

Chini ya Mourinho na Pochettino mshambuliaji huyo alikuwa na wakati mzuri lakini ujio wa Antonio Conte haonekani kuwa na nafasi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live