Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lucas Hernandez kuikosa Euro 2024

Lucas Hernandez 7h2m9n4k3gyw1hyx5nycinmym Lucas Hernandez

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa Kimataifa wa Ufaransa na Paris Saint German Lucas Hernández amepata jeraha la goti kwenye mchezo wa jana wa ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya Dortmund na atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi miezi 6 hadi 7.

Mlinzi wa Kimataifa wa Ufaransa na Paris Saint German Lucas Hernández amepata jeraha la goti kwenye mchezo wa jana wa ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya Dortmund na atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi miezi 6 hadi 7. Atakosa msimu uliosalia na atakosa michuano ya EURO 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live